Wapi Tunaelekea…?

Mungu alitupendelea, akatupa Maarifa mbalimbali ili vitusaidie kwa utukufu wake. Uvumbuzi, Ujuzi, Maendeleo na Kila namna ya kukua ilipasa kuwa Baraka na Msaada kwetu. Akatupa vyoote tuvitumie. Kinyume chake, Tumeanza kutumiwa na Mafanikio hayo. Imekuwa Maangamizi yetu. Tumekuwa wapweke zaidi, Tumetengana huku Tukidhani Tupo karibu zaidi. Kumekuwa Maangamizi Makubwa ya ki fikra, mitazamo, Hisia nk.Continue reading “Wapi Tunaelekea…?”

AMUA KUWA WEWE

Ni kwa Muda Gani, Ni Mara Ngapi Umekuwa ukisema Kuhusu Wengine. Matendo Yao ya kupigiwa Mfano. Tabia Zao Na Hali Zao zenye kuibua Hisia za Moyo. Zenye Kutia Moyo, kuhamasisha Wengine. Mambo Yao ya Kishujaa. Utofauti Wao Na Wengine. ………❔❔❓❓ Je Nani Anayajua yako. Nani anaHamasika Na kutiwa Moyo. Je Unaufahamu Utofauti Wako, upekee Wako.Continue reading “AMUA KUWA WEWE”

SIKILIZA MDUNDO.

Nataka nijifunze Nijifuunze Saana, kusikiliza sauti za ulimwengu. Nisikilize Mdundo, Mapigo. Nijifunze kutolazimisha mambo. …Siwezi kupambana na Ulimwengu, Bali Kuona Uelekeo, na kutumia Huo kunufaika. Huenda kutoenda Sawa na Mapigo kunaweza kukutoa kwenye Wimbo Mzuri uimbwao Kwa Sauti Nzuuri Ya Ulimwengu Huu. Yote Tufanyayo ni Mdundo, Sikiliza, Songa Nao. #AsiliNiJasiri #SikilizaMdundo

Mitazamo Yetu

Mitazamo Yetu Kwa Watu inaweza isiwe sahihi. Kuna wakati Tunawatazama watu Kwa Mitazamo Ya Hisia na Matakwa Yetu. Hapo Tunawafanya Wasienee katika baadhi ya Maeneo. Kwasababu tunataka Wawe vile Hisia zetu Zitakavyo, Lakini kuna Baadhi ya Uhalalishwaji Wa Kuwadogosha na kuwashushia thamani baadhi ya watu Ati Kwa vile waonekanavyo na katika baadhi ya Mambo. WakatiContinue reading “Mitazamo Yetu”

Ni Wewe

Hakuna mtu yeyote anaweza Kuumia vile unaumia. Kupata maumivu Yale unapata. Hata Kama mtapatwa na mkasa sawa, Lakini kila huyo ana kadiri yake. Hakuna mtu anaweza kupata Aibu na Dharau kama wewe Unavyopata. Hata kama imetokea sawia. Kila mtu atabeba aibu na Dharau kwa namna yake na ataathiriwa peke yake. Mnaweza kupata Maumivu, Huzuni, FedhehaContinue reading “Ni Wewe”

Tuamue Na Tuache.. Mazoea Mabaya ..Kwa Pamoja Tuanze upya.

Kuna wakati unahisi mambo fulani unayo yafanya Au usiyofanya yanapelekea Mazoea Na Tabia Fulani. Tabia hizo huweza kukuudhi wewe mwenyewe na/au Familia yako, kikundi chako, wanafunzi wenzako, wafanya kazi wenzako Na jamii nzima kwa ujumla. Ni Hatari.  Tabia Na Mazoea Haya yaweza kuwa kikwazo cha utendaji wetu Na kufanya mambo yazorote. Pia kukwamisha wengine katika shughuliContinue reading “Tuamue Na Tuache.. Mazoea Mabaya ..Kwa Pamoja Tuanze upya.”