My Therapy

Among the things I can Choose and decide by Myself is HAPPINESS I Make it so cheap and Local so it’s not found everywhere….. And not everyone can afford the Price. Just Attention in listening and Sight. Those Breathtaking Moments of Evening Slow Walks, Swim in fresh Clean Air, Enjoying the Views Staring at UniverseContinue reading “My Therapy”

AMUA KUWA WEWE

Ni kwa Muda Gani, Ni Mara Ngapi Umekuwa ukisema Kuhusu Wengine. Matendo Yao ya kupigiwa Mfano. Tabia Zao Na Hali Zao zenye kuibua Hisia za Moyo. Zenye Kutia Moyo, kuhamasisha Wengine. Mambo Yao ya Kishujaa. Utofauti Wao Na Wengine. ………❔❔❓❓ Je Nani Anayajua yako. Nani anaHamasika Na kutiwa Moyo. Je Unaufahamu Utofauti Wako, upekee Wako.Continue reading “AMUA KUWA WEWE”

Tuamue Na Tuache.. Mazoea Mabaya ..Kwa Pamoja Tuanze upya.

Kuna wakati unahisi mambo fulani unayo yafanya Au usiyofanya yanapelekea Mazoea Na Tabia Fulani. Tabia hizo huweza kukuudhi wewe mwenyewe na/au Familia yako, kikundi chako, wanafunzi wenzako, wafanya kazi wenzako Na jamii nzima kwa ujumla. Ni Hatari.  Tabia Na Mazoea Haya yaweza kuwa kikwazo cha utendaji wetu Na kufanya mambo yazorote. Pia kukwamisha wengine katika shughuliContinue reading “Tuamue Na Tuache.. Mazoea Mabaya ..Kwa Pamoja Tuanze upya.”

Sometimes i am Missing you Mom…

Kuna wakati nakukumbuka saana mama Waswahili husemaaa…Ajali hubeba ahadi ya Mwenye Tahadhari, je unatumiaje ulichonacho sasa, maana kuna nyakati zaja ambazo hutapata tena ulichonacho. Wazazi ni Tunu kuu na Ya Pekee. Mwenzako akinyolewa zako tia maji Najaribu kufikiri huku Machozi yakinitiririka, siku ile ningekwambia: “….Mama nimemaliza darasa la sabaa…” huenda ungenikumbatia na kunibusu paji la uso.Continue reading “Sometimes i am Missing you Mom…”