Malezi hayana kanuni.. Mungu anahitajika Zaidi. 

Ukiona mtoto wako Anakua . Anakua katika njia Zinazopendeza, Zinazofaaa na kukubaliwa na Jamii isiyopotoka….. Unachopaswa kufanya ni kumshukuru Mungu, na kumuomba Zaidi Aendelee kumtunza.  Malezi  hayana kanuni ambayo kwayo Jamii zote zitafuata na kutunza maadili na ustawi.  Kila siku mabadiliko, maendeleo na maarifa ya karibu yanaongezeka. Na kuwa chachu na Mwiba wa Makuzi naContinue reading “Malezi hayana kanuni.. Mungu anahitajika Zaidi. “