Awe kila kitu…

Fanya Hivi

Chukua kile ulichonacho, unachokipenda.

Kiwekee kila mazingira ya kukuvutia, kukushawishi, kukutamanisha, na kukufanya usipepese kungine.

Kiwe Bora saana

Bora kuliko vingine.

Kiwe na kila kitu ulichoona hukooo.

Inawezekana….

Mfanye kuwa utakavyo. Mtengeneze mazingira ya kuona kile unataka.

Hatukuzaliwa vile tunavyoonekana, bali tunaonekana vile tulivyotengenezwa kuwa. Na kila siku tunabadilishwa.

Mjenge, Mtengeneze, mbadilishe, mfurahie

Published by Samcare Service

...Usiwaze Mabaya juu ya jirani yako. Ambaye anakaa karibu Nawe na kujiona Salama... "

Leave a comment