WAJIBU/MAJUKUMU YA MKE

MUME: Kama mke, unadhani ni majukumu gani unasaidia/unatenda zaidi ?
MKE: Nadhani nikianza na na mambo ya kawaiiiida, kama vile kuandaa chakula, kusafisha nguo, kusafisha nyumba na kutunza watoto:

MUME: Ni sahihi, lakini je kama jambo  lolote likikupata wakati huu ghafla, je mambo hayo hayatafanyika tena  ?
MKE: Hapana nadhani utapeleka nguo kwa dobi, utaajiri mpishi au mlezi ambaye atasaidia kulea watoto wetu, ingawa sina hakika kama hayo yote yatafanyika vizuri ipasavyo.

Nikatambua kuwa hakutaka kunifanya nihisi kwamba anaweza kuendelea nisipokuwepo, bali                               alitaka nisikose kutambua jambo muhimu saana , kwamba hata kama ataajiri idadi kubwa ya wanawake kukamilisha jukumu zangu kwake,
         linapokuja suala la kutimiza jukumu zangu kama mke wake hakuna mwanamke  yeyote katika dunia hii aliyetayarishwa au kuitwa na mungu kufanya hilo, ila mimi pekee.

Wanawake wengi ukiwauliza ~Nini wajibu wa Mwanamke katika ndoa, utapata majibu meengi na tofauti tofauti. Na wanawake  wengi majibu yao yameegemea katika kile ambacho jamii zao zinasema, yale ambayo vyombo vya habari vinasema, yale ambayo majirani zao wanasema na pia yale ambayo Mama zao wamefanya kama Wake.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s